Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkawe na siku njema iliyojaa upendo na furaha wapendwa wa Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
View attachment 820794
Amun Ra
 
FB_IMG_1532713167952.jpg
 
PESA IMETAWALA UPENDO@ jamaa mmoja katoka ofisini mpole!

MKE: mme wangu mbona leo umerudi ukiwa mpole hv ?

MME: daah! mke wangu ofisi yetu imeungua yote pamoja na wafanyakaz hakuna alie baki yani.

MKE:masikini! je familia zao nani ataziangalia jamani!

MME:kila familia za ndungu marehemu zitapewa Milioni 50 kwaajili kuendesha maisha yao.

MKE:kwani wewe mmewangu umenusurikaje kwenye ajali hii.?

MME:nilikua choon najisaidia nilipo toka ndo nikakumbana na tukio hili.

MKE:siumeona sasa kunyakunya kwako kumetufanya familia yetu isipate milioni 50, KWA MFANO WEWE UNGEKUA MME WA HUYO MWANAMKE UNGEMFANYAJE? #funguka
 
Walaaa,
Lakini alikuwa anaamini wanawakeni ni half humans na wanaongeza tu matatizo hapa duniani.
hahahaa " nikweli " hata Mimi naliona hilo" wanaongeza matatizo haswaaa"".. Ila huwezi kusema haya mbele za watu" achilia mbali " wao pia nisehemu ya hazina kubwa " (Kiwanda) kinachochangia" kuendeleza uzalishaji wa binaadamu" so kuhusu hilo hatuna ujanja inatupasa " tuufurahie tu uwepo wao
 
Back
Top Bottom