PESA IMETAWALA UPENDO@ jamaa mmoja katoka ofisini mpole!
MKE: mme wangu mbona leo umerudi ukiwa mpole hv ?
MME: daah! mke wangu ofisi yetu imeungua yote pamoja na wafanyakaz hakuna alie baki yani.
MKE:masikini! je familia zao nani ataziangalia jamani!
MME:kila familia za ndungu marehemu zitapewa Milioni 50 kwaajili kuendesha maisha yao.
MKE:kwani wewe mmewangu umenusurikaje kwenye ajali hii.?
MME:nilikua choon najisaidia nilipo toka ndo nikakumbana na tukio hili.
MKE:siumeona sasa kunyakunya kwako kumetufanya familia yetu isipate milioni 50, KWA MFANO WEWE UNGEKUA MME WA HUYO MWANAMKE UNGEMFANYAJE? #funguka