Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mungu awape kila hitaji la mioyo yenu.
Apate kuwapa faraja kwa wale wanaojiona wapekwe na wametengwa.
Awafanyie wepesi wote wanao/mnao pitia magumu
Awape afya njema wagonjwa wote.
Mungu awabariki[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji124][emoji124][emoji124]
hana maana kama nanasi lilooza.....Unaishia kuwa kama dc wa instagram[emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23]Huku ndo kuwa mchepuko wa faida,maana mchepuko hana uridhi.
Salute mheshi[emoji119][emoji119]
Kuna wadangaji na wasindikizaji[emoji124][emoji124][emoji124]asalaleee life iz kabichi
Wala simwonei wivu mtoto wa watu haki ya nani,Mchumia juani hulia kivulini[emoji23]....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Hao hawana malengo,wajifunze kwa kina faraja yule mke wa muuza twiga nje ya nchi[emoji124][emoji124]
Kiboko yake mataliban...Kimbunga cha George Bush senior mashariki ya katiView attachment 821474
Hiyo ni historia, imepita......Ilikuwa ayapitie yale ili ayachume haya ya leo.Wala simwonei wivu mtoto wa watu haki ya nani,
Mateso aliyopitia tangia yuko pale Mlimani hadi hapa wachache sana wanayajua.
Hivi yule Zarina wa Daimond angekuwa mtanzania na weupe wake ule angeshakuwaga waziri wa utalii kitambo sana.Hao hawana malengo,wajifunze kwa kina faraja yule mke wa muuza twiga nje ya nchi[emoji124][emoji124]
Kwa wsnaofahamu soka jamaa kakurupuka kumeshakucha,umri alionao na soka ni maji na mafuta,muda tu unasubiriwa aanze kuitwa mzee,mchezaji akishafikisha miaka 30 thaman inashuka kwa kasi ya ajabuIla jamaa anacheza mpira muda sana.
Ila maisha ni kupanga na kuchagua na pia kuna kupanda na kushuka