Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yule anapenda shughuli hasa kisha pesa ifuatie sasa kama shughuli ni dakika kadhaa hata chaga hazilalamiki mmh hawez hongwa hata kijiko maana atasaliti tu
Hivi yule Zarina wa Daimond angekuwa mtanzania na weupe wake ule angeshakuwaga waziri wa utalii kitambo sana.
Tena anavyojuta kufutkia talanta yake kitaalamu angekuwa anamiliki hata mgodi wa tanzanite.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
watoto%20wa%20kubambikiwa.jpg
 
Leicester City inafikiria kuwasilisha ombi la £35m kwa beki wa Newcastle, 24 Jamaal Lascelles, hatua ambayo itamfungulia njia Harry Maguire kuelekea Old Trafford. (Sun)
 
Maurizio Sarri yuko tayari kumpatia Eden Hazard cheo cha kuwa nahodha wa Chelsea katika jaribio la kumzuia mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 kuondoka katika klabu hiyo. (Express)
 
Back
Top Bottom