capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Majamaa yaliyosoma Sayansi yalikua hayana habari na mademu enzi za shule. Yenyewe na vitabu tuu. Matokeo yake yanakuja kupagawa na mifereji maringo tayari yana madaraka na pesa. Inakua Chaos sasa.