Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmh zamu ya kiba kusimangwa sasa,angevumilia saiv angeitwa mume wa dc
Mchezaji wa C.U aliamua kwenda mombasa,ila hata mondi angekuwa mume wa dc ujue?Mmmh zamu ya kiba kusimangwa sasa,angevumilia saiv angeitwa mume wa dc
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] matokeo ya black rose
Aisee....JELA? Ndio. Staa mpya wa Juventus, Cristiano Ronaldo amehukumiwa kwenda jela miaka miwili kwa kosa la kukwepa kulipa kodi katika mamlaka za Hispania, lakini bahati nzuri kwake ni hatakwenda jela.
Ronaldo alikiri kosa hilo la kukwepa kodi na kukubali hukumu ya kifungo cha miaka miwili jela pamoja na faini ya Pauni 16.9 milioni, lakini hatakwenda jela kwa sababu sheria za nchi hiyo zinazuia mtu aliyehukumiwa kifungo cha miaka miwili kwa kosa hilo kwenda jela.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] feni na michezo ya mikono ni vitu muhimu kwenye mahusiano. Usitegemee sana msambwanda na vichuchu saa 6 vikupe ulinzi, hakuna hiyo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahahhaha!
Mond hakumkoleza bibie kama kiba,mombasa wabaya toka mwanamusic mwenye team kubwa mpaka costa union daah maisha mteremko mkali,wengine wanapanda,wengine wanateremkaMchezaji wa C.U aliamua kwenda mombasa,ila hata mondi angekuwa mume wa dc ujue?
Dada zawadi ya nani hiyo?