myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
21:06
Kana sura mbaya walahi
Indeed walahiThis Goddess is hooooot [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Kasong ka ukweli haka,,na hiki kiweekendNinge[emoji119][emoji119]
Kasong ka ukweli haka,,na hiki kiweekend
Kwema carba?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Safi sana ustadhati!!Kwema,za kupotea?
Operation Desert StormZILZALA JANGWANIView attachment 821353View attachment 821354
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Nikibahitika kayapata hayo uliyotaja nitoke nikatafute nini tena, labda kama kuna uhaba wa feni la kupoza joto[emoji3] [emoji3] [emoji3] na mafeni nayo yawepo, siyo maneno tuNilimaanisha upendo + Furaha +Amani...msikilize, muheshimu + mtii, usiwe jeuri, uache ubinafsi, utimize majukumu yako pasipo kunung'unika, usiwe mwenye kisirani.....Mwanamke ukisababisha yote hayo kwa mpenzio, atatoka nje kwa tamaa zake tu lakini sio kwa kisingizio cha kwamba nyumba haikaliki...GUBU.
Safi sana ustadhati!!
Masha Allah hiyo Avatar
[emoji15] [emoji15][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahhaha!Nikibahitika kayapata hayo uliyotaja nitoke nikatafute nini tena, labda kama kuna uhaba wa feni la kupoza joto[emoji3] [emoji3] [emoji3] na mafeni nayo yawepo, siyo maneno tu
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Haki ya nani tena,