Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1532790186651.jpg
FB_IMG_1532789851421.jpg
 
Ndiyo maana nimemshangaa Pyaar eti mwanaume ukimpa vyote anaweza kusepa pia[emoji3] [emoji3]hivi ni kweli[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] sijui alikua anamaanisha nini kwakweli[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nilimaanisha upendo + Furaha +Amani...msikilize, muheshimu + mtii, usiwe jeuri, uache ubinafsi, utimize majukumu yako pasipo kunung'unika, usiwe mwenye kisirani.....Mwanamke ukisababisha yote hayo kwa mpenzio, atatoka nje kwa tamaa zake tu lakini sio kwa kisingizio cha kwamba nyumba haikaliki...GUBU.
 
Back
Top Bottom