Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ushauri hu, mkiwa mnacheat uko muwe mnarecord matukio tafadhali ili baby akijua akaanza kulalamika mbona nakupa kila kitu,kwan uyo dada ana nini ambacho me sina..chukua simu yako muoneshe ile video ajue nn aongeze.
Kupunguza gharama uwe umejiandalia jeneza, gari la matangazo lipia kabisa ili ukirestishwa ini pisi iwe rahisi kukufukia
 
Kuhusu KIMBUNGA JANGWANI
FB_IMG_1532789615279.jpg
 
Atafanya teuzi mpaka siku anaachia madaraka lakini kuna kitu hajakielewa. Na hicho ndicho kilimponza Nyerere mpaka siasa zake za Ujamaa zikashindwa. Anyway, kikatiba ana uhuru wa kumteua ye yote amtakaye na kumwondoa madarakani ye yote amtakaye. Trappings of power...
Kitaje kitu gani ili tujifunze hapa
 
Back
Top Bottom