Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kati ya wote hapo aliyefanikiwa zaidi ni Jerry Muro, cheo hicho amekipatia tabu sana, maana ametukana sana siasa za upinzani ili angalau afikiriwe kajicheo. Hongera zake
Siyo kila anayetukana upinzani au chama tawala anataka cheo. Wengine (kama tulionao humu) wanafanya hivyo sababu ya "uzalendo" wao. Ndiyo demokrasia ati [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Rais Kabadili baadhi ya wakuu wa mikoa na makatibu tawala

Katibu tawala

Abubakar musa -dar
David kafurira-songwe
Denis bandisa-geita
Happy william - iringa
Abdalla malela -katav
Rashid chatta-kgm
Masaile mussa -manyara
Carolin mpapula -mara
Dk jerry mareko- mtwara
Christopher kadio -mwanza
Eric chitindi -njombe
George mchaki - ruvuma

Andrew masawe-ofisi ya waziri mkuu
Lisante gabriel -uvuvi na mifugo
Dk jimmy james - naibu katibu mkuu wizara ya ujenzi
Edwin muhede- viwanda biashara na uwekezaji

Wakuu wa wilaya
Jerry mulo- arumelu
Patrobas katambi - dodoma
Jokate mwegero - kisarawe
IMG_20180728_192415_247.JPG
 
Rais Kabadili baadhi ya wakuu wa mikoa na makatibu tawala

Katibu tawala

Abubakar musa -dar
David kafurira-songwe
Denis bandisa-geita
Happy william - iringa
Abdalla malela -katav
Rashid chatta-kgm
Masaile mussa -manyara
Carolin mpapula -mara
Dk jerry mareko- mtwara
Christopher kadio -mwanza
Eric chitindi -njombe
Riziki salas - ruvuma

Andrew masawe-ofisi ya waziri mkuu
Lisante gabriel -uvuvi na mifugo
Dk jimmy james - naibu katibu mkuu wizara ya ujenzi
Edwin muhede- viwanda biashara na uwekezaji

Wakuu wa wilaya
Jerry mulo- arumelu
Patrobas katambi - dodoma
Jokate mwegero - kisarawe
Katika orodha hii kuna ndugu yenu, mwanauzi mwenzenu, kipenzi chenu, rafiki yenu, mmiliki wa Fenesi hili[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
FB_IMG_1530632738174.jpg
 
Back
Top Bottom