andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzee upo? Habari ya majukumu ndugu yangu?Acha mkwara we Mlugaluga! [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzee upo? Habari ya majukumu ndugu yangu?Acha mkwara we Mlugaluga! [emoji23][emoji23]
Shwaini zako
Kati ya wote hapo aliyefanikiwa zaidi ni Jerry Muro, cheo hicho amekipatia tabu sana, maana ametukana sana siasa za upinzani ili angalau afikiriwe kajicheo. Hongera zake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzee upo? Habari ya majukumu ndugu yangu?
[emoji23] [emoji23]Kati ya wote hapo aliyefanikiwa zaidi ni Jerry Muro, cheo hicho amekipatia tabu sana, maana ametukana sana siasa za upinzani ili angalau afikiriwe kajicheo. Hongera zake
Yeah...mtu anahisi mkibanana ndio foleni itamove harakaHayo mambo yapo mijini zaidi
Mi pia nilitaka kuwajua vema hao watu ingawa kuna simulizi nyingi kuhusu mama wa kimachame,Wachaga wakorofi eeeh!?
Funguka bro...
Mungu anasaidia,maisha yanaendelea kusonga mbeleKheri kabisa ndungu yangu, Mungu ni mwema! Habari ya uzima?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Jakitoo ni Mchaga? Mi nafikirigi wa Kusini huko? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3] [emoji3]Nahesabu aisee. Hujui tu lakini nikipataga shikamoo yako nafurahigiiiiiii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]walikuwa kaziniMbona wamechoka hivi? Hasa jamaa Inaonekana yuko nyang'anyang'a [emoji16][emoji16][emoji16]
Desert Storm. Welcome to American Democracy 101 [emoji16][emoji16][emoji16]KIMBUNGA JANGWANIView attachment 821238View attachment 821239
Mwanaume suruali [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Girls like you[emoji445][emoji445][emoji445]View attachment 821240
Safi sana, hajatumwa kuzipeleka hapo. Nafsi yake imemsukuma mwenyewe kapeleka[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kafisadi ka kesho [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 821213