Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mambo yao Wajapan haya. Na kwetu yatafika siku moja...
Mambo yao Wajapan haya. Na kwetu yatafika siku moja...
Wengi hubadilika ili kuridhisha watu. Kumbe watu hawaridhishiki hata ufanyeje. Kwema lakini?
Nikuulize swali labda, unadhani kwanini Joketi?Hahahahahha! Kwanini?
Kuomba msamaha nacho ni kipaji na wengine hawaombi msamaha ng'o hata kama kosa ni lake. For the sake of peace, mwanaume inakubidi tu uombe msamaha ili yaishe kwa sababu unajua bila kufanya hivyo konokono utamsikia kwenye taarifa ya habari tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mbona wamechoka hivi? Hasa jamaa Inaonekana yuko nyang'anyang'a [emoji16][emoji16][emoji16][emoji171]View attachment 821096
Safi kamanda. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]JF is the best App, am not addicted to it thou, mambo vp Chief.?
Hahahahahah!! [emoji23][emoji23][emoji23]Kuomba msamaha nacho ni kipaji na wengine hawaombi msamaha ng'o hata kama kosa ni lake. For the sake of peace, mwanaume inakubidi tu uombe msamaha ili yaishe kwa sababu unajua bila kufanya hivyo konokono utamsikia kwenye taarifa ya habari tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Style hii ya kuwapa hawala majukumu makubwa kitaifa, hatufiki Chief andaa budget tu tufanye utalii kwa nchi za wenzetu.Mambo yao Wajapan haya. Na kwetu yatafika siku moja...
Kwema sana Bro....shikamoo bro [emoji5]Wengi hubadilika ili kuridhisha watu. Kumbe watu hawaridhishiki hata ufanyeje. Kwema lakini?
Atafanya teuzi mpaka siku anaachia madaraka lakini kuna kitu hajakielewa. Na hicho ndicho kilimponza Nyerere mpaka siasa zake za Ujamaa zikashindwa. Anyway, kikatiba ana uhuru wa kumteua ye yote amtakaye na kumwondoa madarakani ye yote amtakaye. Trappings of power...
Mie sie niliyemteua...Labda ningekuwa nimehusika kumteua ningeweza kukujibu kwa ufasaha zaidi kuwa ni vigezo gani nimevitumia kumteua mlimbwende yule....Nikuulize swali labda, kwanimni Joketi?
Kuomba msamaha nacho ni kipaji na wengine hawaombi msamaha ng'o hata kama kosa ni lake. For the sake of peace, mwanaume inakubidi tu uombe msamaha ili yaishe kwa sababu unajua bila kufanya hivyo konokono utamsikia kwenye taarifa ya habari tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahaha!Mbona wamechoka hivi? Hasa jamaa Inaonekana yuko nyang'anyang'a [emoji16][emoji16][emoji16]
Mie sie niliyemteua...Labda ningekuwa nimehusika kumteua ningeweza kukujibu kwa ufasaha zaidi kuwa ni vigezo gani nimevitumia kumteua mlimbwende yule....