Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

37087150_191767681684874_5884123968822050816_n.jpg
 
Style hii ya kuwapa hawala majukumu makubwa kitaifa, hatufiki Chief andaa budget tu tufanye utalii kwa nchi za wenzetu.
Mahawala wapi tena kamanda?

Mahawala kufaidika kwenye siasa siyo jambo la ajabu chief hasa kwenye nchi zisizo na taasisi imara na watchdogs. Hakuna cha conflict of interest wala nini. Angalia ubunge wa viti maalum ambavyo huww ubagawanywa. Sisi bado sana; na usichukulie haya mambo personally bro. Utapata BP bure wakati wenzio wanatanua...
 
Last edited:
Rais Kabadili baadhi ya wakuu wa mikoa na makatibu tawala

Katibu tawala

Abubakar musa -dar
David kafurira-songwe
Denis bandisa-geita
Happy william - iringa
Abdalla malela -katav
Rashid chatta-kgm
Masaile mussa -manyara
Carolin mpapula -mara
Dk jerry mareko- mtwara
Christopher kadio -mwanza
Eric chitindi -njombe
George mchaki - ruvuma

Andrew masawe-ofisi ya waziri mkuu
Lisante gabriel -uvuvi na mifugo
Dk jimmy james - naibu katibu mkuu wizara ya ujenzi
Edwin muhede- viwanda biashara na uwekezaji

Wakuu wa wilaya
Jerry mulo- arumelu
Patrobas katambi - dodoma
Jokate mwegero - kisarawe
 
Dah me nlipata tetesi kwa dada wa Taifa, kinachotekea kina-reflect kilichosemwa awali.
Dada wa taifa?

Come on bro [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️

Habari za Fox news huwa siziamini sana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mahawala wapi tena kamanda?

Mahawala kufaidika kwenye siasa siyo jambo la ajabu chief hasa kwenye nchi zisizo na taasisi imara na watchdogs. Hakuna cha conflict of interest wala nini. Ndo maana unaweza kusafiri na hawara yako kwenda Dubai au Marekani kwa hela za chama na hakuna tatizo. Sisi bado sana; na usichukulie haya mambo personally bro. Utapata BP bure wakati wenzio wanatanua...

Sasa uzalendo anao tutangazia kila siku upo wapi hapa? Unafiki tu!!Ujue ni vizuri wote kuwa wanaufaika, kama Mkwere enzi zake .. ubinafsi si jambo zuri hatakidogo! Watanzania wana hali mbaya sana kimaisha anayofanya si uungwana.
 
Dada wa taifa?

Come on bro [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️

Habari za Fox news huwa siziamini sana [emoji16][emoji16][emoji16]
HA hah
Nambie source yako ya habari Chief, hatuna taarifa ya habari sikuizi ukiacha BBC swahili.
 
Back
Top Bottom