carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Sina hata cha kuondoa
Wataka uondoe nini usoni?
Wataka uondoe nini usoni?
Anatafunwa na nani?[emoji46][emoji46][emoji46]mamdogo kaukwaa ukuu wa wilaya??
Hapana chezea mbuye wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]...Alijituma[emoji46][emoji46][emoji46]mamdogo kaukwaa ukuu wa wilaya??
Hapana chezea mbuye wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Biashara gani?Karibuni ndugu zangu mniunge mkono kwenye biashara yangu
[emoji23][emoji23][emoji23]yawezekana aiseeh![emoji23][emoji23][emoji23]...Alijituma
Msukuma alisema da mange[emoji124][emoji124][emoji124]Anatafunwa na nani?
Mungu ni mwema ndugu yangu. Habari ya majukumu?Lete hizo hela tugawane. Kwema lakini shemeji?
Karibu shem.... Utapata unacho kitafuta tena gharama nafuu kabisa.Kumbe nikirudi utakuwa na pesa za mauzo,acha nichangamke kurudi mie[emoji23]
Habari shem
Timbwili lake linakuwa la sayari nyngine[emoji3] [emoji3]Ushauri hu, mkiwa mnacheat uko muwe mnarecord matukio tafadhali ili baby akijua akaanza kulalamika mbona nakupa kila kitu,kwan uyo dada ana nini ambacho me sina..chukua simu yako muoneshe ile video ajue nn aongeze.
Weee mtoto?!!!! Uji wa parachichi ujisiribe usoni?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mzee weee
Me nataka la kupaka usoni[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji3] [emoji3]Atakua kautaka mwenyewe huo ungomvi .. si ametaka kujua mwenzie anamzidi nini.?
Ya parachichi...Biashara gani?
Kupewa vyote mmmmh[emoji3] [emoji3] [emoji3] hivi nina nini leo,?[emoji3] [emoji3]Hata kama anapewa vyote, kama ni wa kuchepuka ni wa kuchepuka tu.. Sio kila anayechepuka haridhishwi.
Aseee, wapi Ali Kiba?Jokate Mwegelo, kateuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Kisarawe.
Huku kwema kabisa namshukuru Mungu[emoji120][emoji120]Karibu shem.... Utapata unacho kitafuta tena gharama nafuu kabisa.
Habari ya huko?