Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuna vingi vizuri lakini sio fenesi jameni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huku kwetu uswahilini kuna msemo usemao "Kizuri kula na nduguyo" ikiwa utamnyima kitu kizuri ndugu yako unaweza kumpa nini zaidi ya hicho?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtaji kiuno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli kabsa,,hz nyumba zmefanana sana,,,ila cha ajabu sasa ni walevi wachache sana wanaopotea nyumbani kwao hata alewe vp[emoji23] [emoji23]Hahahaha! Utaingia nyumba isiyo yako[emoji23]