Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1532789638019.jpg
 
Yule yuko tu nje ya nchi anawatoa jasho watu wadangaji wa bongo, unadhani angekuwa mzawa pangekalika hapa kweli ???
Yaani Daimond ametumika kama daraja lake la kibishara, tena alivyokuwa mjanja kazaa kabisa ili asikae mbali na nyota ya mondi,
Ile kichwa sijawahi ielewa hata siku moja,....yani lile ndiyo Vampire lenyewe hawa wakina Jokate wanaigiza tu, lenyewe linataka damu tu siyo kingine..
Point
 
Back
Top Bottom