Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ok , nadhani anaogeshwa mvua ya povu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna jerry muro nae
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna wadangaji na wasindikizaji[emoji124][emoji124][emoji124]asalaleee life iz kabichi
PointYule yuko tu nje ya nchi anawatoa jasho watu wadangaji wa bongo, unadhani angekuwa mzawa pangekalika hapa kweli ???
Yaani Daimond ametumika kama daraja lake la kibishara, tena alivyokuwa mjanja kazaa kabisa ili asikae mbali na nyota ya mondi,
Ile kichwa sijawahi ielewa hata siku moja,....yani lile ndiyo Vampire lenyewe hawa wakina Jokate wanaigiza tu, lenyewe linataka damu tu siyo kingine..
Jamaniiiiiiii....Labda na poti pekee maana wagumu wakijisahau na kuwa walaini wanakurupukaga sana[emoji23][emoji23]