Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Aisee!!
Nahitaji msaada kdogo juu ya hili.
Kuna Jamaa angu wiki iliyopita alikuwa mayai,aliyakaanga fresh tu,,baada ya siku tatu,,akavimba kende tena moja(p*mbu),,uvimbe mkubwa tu,,kaenda hospital wamewambia afanyiwe operation kuna maji yamejaa!!
Jamaa ikabd amtaarifu mshua wake ,,mshua wake akamwambia ulikula mboga ya mayai?jamaa akajbu ndio,,mshua akamwambia hlo ndio tatzo kwan hata mm huwa situmii mayai ,,,
Sasa najiuliza Kuvimba P*mbu kende moja baada ya kula mayai,,kuna Uhusiano gani?
Cc:Shimba Ya Buyenze,Pyaar,Numbisa