LETTER TO MIGUNA MIGUNA[emoji23][emoji23]
Dear Miguna Miguna
Habari ya Canada?? Nmekumis sana huku Kenya tuko wazima. Obama alikuja akaenda,Zari pia alikuja akaenda,RickRos
s pia alikuja akaenda. Sasa tunangoja Nikki Minaj alafu Wahu aliokoka,Amani pia akaamua kuokoka. kanze Dena aliingia State House Vera Sidika na Otile Brown ndio the newest couple in town huku Kenya though kuna story ni kama wameachana. By the way Eric Omondi alioa mzungu so wanatusumbua mtandaoni usiku na mchana hatulali. Willy Pozze nae naskia amequit Gospel ako secular juu ya kutafta fame yawa..[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
.. ☆☆ Alafu pia Samosa za paka zilipatikana Nakuru. Bado Mercury inatafutwa kwa sukari. SGR inaendelea vizuri sana. Dem wa Jones Khali a.k.a OG ule wa nikama ndio hatujui kwenye yuko. Alaf form siku hizi nikuwatch citizen news saa moja. Bado ile form ya 34B haijaipatkana na Chiloba na Chebukati walikosana.Unarudi Kenya lini???? Salimia Victoria Kimani umwambie Song yake ya Prokoto bado inahit. Alafu usisahau kukam na Passport zako original.