Siwezi kukukatalia...lakini mwisho wa siku unaenda kulala kwa Main...mi nazani side ndio yenyewe
hahahah sawa umeshinda wewe ndio main chick kwa Mr MillerWewe ndio uthibitishe maana ndio uliyenikabidhi....
Simamia wajibu wako kama Kaka Pekee
nyara zinatembea...John & Fausta in Katavi[emoji3] [emoji3] View attachment 823516
Sasa kama main ni nzuri, kwnn? Wengine wanaamua kuwa side.Siwezi kukukatalia...lakini mwisho wa siku unaenda kulala kwa Main...
Ndio maana kuna side plate...after main meal...na sio before...
Sasa kama main ni nzuri, kwnn? Wengine wanaamua kuwa side.