Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahha na hzo Uber sasa hv ndoa nyingi zipo mashakani kwa ajiri ya Uber,, mkeo analetwa hadi home kwako anashuka midnight mwanaume akiuliza anaambiwa Uber hyooo,,, kumbe gari la bosi wake
Kweli kabisa, hizi cases zipo nyingi tu.... Ila ukikuta mume ni mtata, atachukua simu aone kweli uliita uber??, hapo ndo ugomvi utakapoanzia akikuta ndivyo sivyo.
 
FB_IMG_1533037690500.jpg
 
Back
Top Bottom