capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Savage
Ni lazima iwe Photoshop. Hao wote wasingeweza kukutana wote wakiwa hai. Garvey alifariki mwaka 1940 na Sankara alizaliwa mwaka 1949. Hawangeweza kukutana katika sayari hii.Picha hii inaongea vitu vingi sana .. Hadithi yao ni mfano wa tafsiri halisi ya uzalendo na Uafrica. Sijui mzee wetu alikua chaka gani hata?!
Naona likes sion posts zako hapa .. napata tabu kidogo. Tafadhali karibuAbeee
Hah hahNi lazima iwe Photoshop. Hao wote wasingeweza kukutana wote wakiwa hai. Garvey alifariki mwaka 1940 na Sankara alizaliwa mwaka 1949. Hawangeweza kukutana katika sayari hii.
Ni kosa kumwacha Nyerere. Huwezi kuwa na Mandela bila Mwalimu...
Nipo...ndio napiga hodiNaona likes sion posts zako hapa .. napata tabu kidogo. Tafadhali karibu
Nipo...ndio napiga hodi
Za kupotea? Miaka na miaka? Karibu tena !!!Abeee
Kitambo sijaingia humu...Asante, nafurahi pia kukuona hapa.
Asanteeee....naona umejichimbia huku...Za kupotea? Miaka na miaka? Karibu tena !!!