Yea.? Basi sawa hapa ndipo ilipo jamii yangu ..Wapi xctly unakuaga.?Kitambo sijaingia humu...
Mko wapi wahenga..View attachment 823708
Yea.? Basi sawa hapa ndipo ilipo jamii yangu ..Wapi xctly unakuaga.?
Right away nililigundua hili hata bila kuangalia picha imekaaje. Majina tu yalitosha. Garvey na dogo wa juzi juzi hapa Sankara wawe kwenye meza moja? Tena amevaa kombati tayari? Angekuwa kwenye diaper angalau [emoji16][emoji16][emoji16]Hah hah
You Genius Bro! Umeusoma mchezo very fast. Ha haa ha
Ukitizama picha tuu unajua hii ni photoshop. Check Bob ametokea
Mimi nipo MMU sana....ila nitajitahidi kubakia hapa kwa sasa
Nilisikia mahali Mpare anapika ugali mboga SENTI TANO
Huku hakuna bughudha. Na kila kitu ninachokihitaji hapa JF nakipata huku huku. Kwingine naendaga japo siyo sana...Asanteeee....naona umejichimbia huku...
Okay, karibu sana.
Siyo kitambo. Ni miaka [emoji16][emoji16][emoji16]Kitambo sijaingia humu...
Kuna vitu vingi tu, Sankara wakati anatawala Mandera alikuwa gerezani,Right away nililigundua hili hata bila kuangalia picha imekaaje. Majina tu yalitosha. Garvey na dogo wa juzi juzi hapa Sankara wawe kwenye meza moja? Tena amevaa kombati tayari? Angekuwa kwenye diaper angalau [emoji16][emoji16][emoji16]
Basi nitahamia huku, acha nikatoe notice kwa mwenye nyumba...nihamie hukuHuku hakuna bughudha. Na kila kitu ninachokihitaji hapa JF nakipata huku huku. Kwingine naendaga japo siyo sana...
Mwaka Tu....same time last year....Siyo kitambo. Ni miaka [emoji16][emoji16][emoji16]