Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20180731_095231.jpg
 
Hivi ni depression ama nini??
************************************‪
Mchungaji Abel Ayinza Raia wa Uganda anayefanyia kazi zake nchini Marekani amejiua baada ya kuona picha za Mke wake aliyemuacha nyumbani mwezi mmoja uliopita nchini Uganda akiwa anachumbiwa na Mwanaume mwingine.#MillardAyo
 
Ni konokono mama. Wale spesheli wasiopatikana kirahisi. Wale wa kwenye maji vuguvugu wanono watamu wasiokaukiwa na utelezi hata wakiwa nje ya gamba lao. Ukifikiria ulivyohangaika kumvua kwa shida. Ukaingia gharama za kutisha huku ukiamini kuwa utamla peke yako...Inauma sana !!!

Mchungaji Abel apumzike kwa amani...
 
Back
Top Bottom