Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

768D6972-1050-4757-902F-F71A96FF7B72.jpeg
 
Mwanaume + wadogo wa mwanamke kutokujielewa + wapumbavu = Watafanya ujinga, dhambi hii..

Ila kwa mume mwenye busara na mwenye kumuheshimu mkewe hawezi fanya UPUMBAVU huu.
Kweli kabsa,,, mwanaume mwerevu hawezi tamani shemeji zake,,, pia hao shemeji zake wakiwa wametoka kwenye familia yenye malezi bora na misingi ya kiimani basi hii kitu itakuwa nadra sana
 
Kweli kabsa,,, mwanaume mwerevu hawezi tamani shemeji zake,,, pia hao shemeji zake wakiwa wametoka kwenye familia yenye malezi bora na misingi ya kiimani basi hii kitu itakuwa nadra sana
Ujue kuna vitu binadamu wanafanya mpaka unaanza kujiuliza hivi kweli hawa ni timamu??? Baba analala na mtoto wake wa kike, mume anakula mpaka ndgu wa mwanamke, jamaniiiiii! Nyege gani hizo???
 
Back
Top Bottom