Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yu wapi SHIMBA YA BUYENZE
Nipo kamanda [emoji109][emoji109][emoji109]
Yu wapi SHIMBA YA BUYENZE
[emoji8][emoji8]kasmartShiro[emoji8]
Shukran Moud, uko poa?Pole kwa majukumu mrembo. Habari za job
Davet anawasalimieni, atakuja siku isiyo na jina [emoji23]Wapi Davet
Ninyi ndiyo hamlali..Davet anawasalimieni, atakuja siku isiyo na jina [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daah huu ukoo wa wongo kweli.
[emoji23]Mimi nimelala nimeamka sasa hivi.Ninyi ndiyo hamlali..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamaniiiiiiUganda ya Kaskazini huko wanakulana tu. Literale [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
View attachment 823904
Hatari tupuKuna madhambi mengine yanafanywa mpaka shetani anasubiri na mwenyewe anaogopa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Adamu hakuwahi kuwa na nyege kabla ya kula tunda; aliishi maisha ya utakatifu pamoja na msaidizi wake Eva....Baada ya kula tunda ndipo alipofunuliwa na kujihisi yu mtupu, b4 hakuwahi kujua konokono ina ladha gani..Baada ya kuhasi ndipo ghadhabu ya Mungu ilipowaka juu yake na kumpa maisha ya tabu, kula kwa jasho, kuzaa kwa uchungu (Eva), kuzaliana....Basi tangu hapo Adamu akamjua Eva nao wakaanza maisha ya kudabuana... (Biblia)Hahahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3] nyege zilimgharimu baba yetu Adam sembuse mimi na wewe, chamsingi ni kujizuia tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], jamaniiiiiiProfesa wa mapenzi wa uzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Chanafunzi chake kile mpaka leo hakiko sawa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]