Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3] nyege zilimgharimu baba yetu Adam sembuse mimi na wewe, chamsingi ni kujizuia tu
Adamu hakuwahi kuwa na nyege kabla ya kula tunda; aliishi maisha ya utakatifu pamoja na msaidizi wake Eva....Baada ya kula tunda ndipo alipofunuliwa na kujihisi yu mtupu, b4 hakuwahi kujua konokono ina ladha gani..Baada ya kuhasi ndipo ghadhabu ya Mungu ilipowaka juu yake na kumpa maisha ya tabu, kula kwa jasho, kuzaa kwa uchungu (Eva), kuzaliana....Basi tangu hapo Adamu akamjua Eva nao wakaanza maisha ya kudabuana... (Biblia)
Kabla, Adamu hakuwahi kuhisi nyege..
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…