Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanaume wawili wanaotajwa kuwa Raia wa Tanzania wanasakwa na Polisi wa Kansas Marekani kwa tuhuma za kumbaka kwa pamoja Mwanamke mmoja walieondoka nae Bar wakiwa na gari aina ya BMW ambapo walisikika wakiongea Kiswahili kabla ya kuondoka Bar,
 
....
IMG-20180801-WA0003.jpg
 
DAR: Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemuagiza Kamishna wa Uhamiaji kutotoa kibali kwa Mtanzania yeyote kuondoka nchini kwa madai ya kupata kazi nje ya nchi bila kujiridhisha kuwa anayo mikataba ya sehemu anayokwenda kufanya kazi - Amemtaka pia Kamishna wa Uhamiajia ajiridhishe kwa kufanya mawasiliano na Balozi husika katika nchi ambayo mtanzania huyo atadai anaenda kufanya kazi - Kauli hiyo ameitoa wakati wa shughuli ya maadhimisho ya kupinga usafirishaji haramu wa binadamu nchini jana Julai 30 katika viwanja vya Mnazi Mmoja - Pia amesisitiza kuwa Serikali haikatazi Watanzania kwenda kufanya kazi nje ya nchi bali kinachotakiwa ni kufuata utaratibu kutokana na nchi kuendelea kuathirika na watu kusafirishwa kiharamu na kwenda kuteswa - Aidha, Waziri Lugola ameagiza msako wa nyumba kwa nyumba, mashamba kwa mashamba, viwanda kwa viwanda na sehemu zote zinazotoa ajira kuangalia kama kuna Wahamiaji haramu walioajiriwa - Katika hatua nyingine kwenye maadhimisho hayo, Waziri Lugola amemfuta kazi Mjumbe wa Sekretarieti ya kupinga usafirishaji Haramu wa binadamu kwa kushindwa kujua idadi ya vyombo vinavyotakiwa kutaifishwa
Jizazi [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Nyoka mmoja aliingia kwenye karakana ya seremala. Kulikuwa na msumeno umeanguka chini. Kwa bahati mbaya ulimgusa nyoka, akaumia kidogo. Kwa hasira, nyoka aliung'ata ule msumeno. Alipoung'ata ule msumeno, aliumia tena (kwa kuwa ni wa chuma). Alipoona anazidi kuumia, akaouna ule msumeno ni adui m'baya sana. Ikabidi atumie nguvu zaidi kuung'ata. Akaamua kujizungusha kwa nguvu kwenye msumeno ule ili aubane na kuunyongelea mbali kabisa. Masikini... Nyoka yule aliishia kujiua mwenyewe kwa hasira zake juu ya msumeno. - - FUNZO: Katika maisha, mara nyingine tunafanya maamuzi kwa hasira sana kwa lengo la kumuumiza yule aliyetukosea, bila kujua tunajiumiza wenyewe. Tujifunze kusamehe na kudharau baadhi ya watu, matukio, na vitu vilivyotukwaza iwapo kufanya hivyo hakutatuumiza zaidi.
Hii imekaa poa sana [emoji109][emoji109][emoji109][emoji122][emoji122][emoji122][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Onyo. Kamwe usiingie kwenye mahusiano au ndoa kwasababu tu mama mkwe anakupenda sana au anakukubali sana na anakiu sana uolewe na kijana wake. Wengi wamefanyakosa hilo na leo wanauadui mkubwa na kijana (mume) pamoja na mama mtu (mama mkwe) na ndoa yao pia imeshakuwa past tense, haipo tena. Ingia kwenye mahusiano au ndoa kwasababu yako mwenyewe sio kwasababu ya mtu au watu, la sivyo itakutokea puani
Watu wengine siku hizi wanaingia kwenye ndoa ili kuondoa nuksi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wanaume wawili wanaotajwa kuwa Raia wa Tanzania wanasakwa na Polisi wa Kansas Marekani kwa tuhuma za kumbaka kwa pamoja Mwanamke mmoja walieondoka nae Bar wakiwa na gari aina ya BMW ambapo walisikika wakiongea Kiswahili kabla ya kuondoka Bar,
Aisee.....Mvua 30 hapo wanachezea. Binti kama kawashtaki basi wamechukua DNA kutoka kwenye manii yao na watakapokamatwa ni kumechisha tu DNA. Zikifanana ndiyo adios mvua 30. Kisa konokono !!!
 
*WASICHANA_WA_LEO:

*Jamaa yupo ndani ya Range Rover yake mpyaaa na msichana ambae ni mpenz wake
*Jamaa*: Kuna siri flani nimeitunza moyoni mwangu kwa muda mrefu na nikaona kama nitakuambia lazima utaniacha
*Msichana*: Siri gani iyo mpenz wangu?
*Jamaa*: Nimeoa
*Msichana*: *Weee* *umenishtua sana, mimi nilifikiri hili gari sio lako!* [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]

[emoji51][emoji51] Wadada akili zao wanazijua wenyewe....
 
Back
Top Bottom