carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aya bhanaWewe walionaje??[emoji23] Ukiliona kwa nje halifai, halivutii, ila ukiliachanisha kwa ndani linavutia.
Kurudu waalan[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aya bhana
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]Wah wah[emoji134][emoji134][emoji134]
Hivi lile linaweza kuachanishwa eeh??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio nn mkuu?? sijakupata vizuriKurudu waalan
Namuuliza Le Profesa maana mie ni wanafunzi mchanga[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]
Unamuuliza Profesa au na ww unataka umwage lekcha kdogo mmh
[emoji23]. Gudi naitini.[emoji42][emoji42][emoji42]Wah wah[emoji134][emoji134][emoji134]
Hivi lile linaweza kuachanishwa eeh??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana yake naijua...[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji23][emoji23][emoji23]hivi wajua maana yake au umejisemea tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Achana na mbege, si rafiki kwako....Haikufai
Nikupe maana yake???
Ati nini?*MWANAMKE AKIWA MBAYA UTAMSIKIA TU, "NINA UZURI WA NDANI KWA NDANI"*
*Mmmh DADANGU UMEKUWA FENESI???!!*[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]