Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BAADA ya straika wa Manchester City kutemwa na manzi wake, Karina Tejeda mwaka jana, Sergio Aguero kajinasia mrembo mwingine.
Aguero ambaye alianza kutoka na Karina baada ya ndoa yake kwa bintiye lejendari Maradonna, kichuna Giannina kuvunjika, alishindwa tena kumudu uhusiano huo.
Aguero aliyezaa mtoto mmoja wa kiume na Giannina alivunja uhusiano huo 2013 na mara moja kuanza kutoka mna Karina.
 
Hata hivyo uhusiano wao wa miaka minne ulifikia kikomo mwisho wa mwaka jana kichuna huyo alipoamua kumtema.
Sababu za Karina kumpiga chini Aguero ilitokana na kisa kimoja ambacho staa huyo alikwenda na kujiachia na mademu wanamitindo kwenye pati moja iliyoandaliwa na wachezaji wenzake.
 
Kitu hicho kilimkuna Karina ambaye tayari walikuwa wameshaanza kuzenguana na Aguero hivyo akaamua kumbwaga mazima.
 
Hata hivyo ni kama vile Aguero kampata mbadala baada yake hivi majuzi kunaswa na kamera za mapaparazi akitoka kwenye klabu moja ya burudani usiku katika kisiwa cha Ibiza huku akiwa anaandamana na kichuna fulani. Mapozi yao yaliashiria ni wapenzi kwa namna walivyokuwa wameshikana mikono.
 
Ewaaaaa,ile mnaita breki nini sijui,mana ukipewa nusu ni uchoyo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]

446709174_93157.jpg
 
Hata waseme ng'ombe 100 na mashamba sawa tu [emoji16][emoji16][emoji16] [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
IMG-20180801-WA0031.jpg
 
Many people, especially ignorant people, want to punish you for speaking the truth, for being correct, for being you. Never apologize for being correct, or for being years ahead of your time. If you’re right and you know it, speak your mind. Speak your mind. Even if you are a minority of one, the truth is still the truth.

― Mahatma Gandhi
 
Kale kajamaa kalikurupuka ili mradi tu na kenyewe kaonekane kideon harusin kwa kaka

Hope dada mtu katulia maana nimeona mahali wanauliza kama hio couple ilipima homa kubwa(maana bwana harusi alikua anatoka na jini kabula)

Ndoa haitaki kiki,kama alifanya sababu ya kiki shauri yake.

Mmh!kwani ukienda kucheza mpira/ama kufanya kazi nje ya nchi hupimi homa kubwa??
 
Back
Top Bottom