ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
Ndio Malcom huu naufahamu na naupenda
I dedicated this song to my bff alafu sasa hivi hata sio bff [emoji23]
Ndio Malcom huu naufahamu na naupenda
[emoji4][emoji4][emoji4]Picture Me Rolliiiiiiiin
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulikuwa bado hujazaliwa, teh teh teh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nina Album yake, teh teh teh!
[emoji4][emoji4][emoji4]
Hii album iliweza [emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaniringishia eenh sawaa [emoji58][emoji58]
Hapana mkuu,,, hii nisikuwahi kuisikia aisee,, japo hyo album ya grafit niliwahi kuisikiliza
Huyu shangazi huyu. "Mchokozi" kweli kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Unaweza kutengeneza juisi nyingi unakunywa nyingine unaweka kwa matumizi ya baadaeNumbisa...
hayo majani unayachemsha..sasa ukishakunywa unaweza kuweka kwenye friji itakayobaki kwa matumizi ya baadae?? au ndo kila ukitaka kunywa una blend??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shangazi yetu anakoelekea sasa,,, ni Mungu pekee anafahamu,,, kuna watu tyl wameanza kukereka na baadhi ya kauli zake,, kwa kusema kuwa shangazi anaingilia kila sehemu hata kule asikohitajikaHuyu shangazi huyu. "Mchokozi" kweli kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Mstafeli kwa kizungu sijui broHuyu shangazi huyu. "Mchokozi" kweli kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Niligugo nikayapata. WabejaMstafeli kwa kizungu sijui bro
Wanasema ndiye mgombea mwenza 2020...[emoji23] [emoji23] [emoji23] shangazi yetu anakoelekea sasa,,, ni Mungu pekee anafahamu,,, kuna watu tyl wameanza kukereka na baadhi ya kauli zake,, kwa kusema kuwa shangazi anaingilia kila sehemu hata kule asikohitajika