Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Numbisa...
hayo majani unayachemsha..sasa ukishakunywa unaweza kuweka kwenye friji itakayobaki kwa matumizi ya baadae?? au ndo kila ukitaka kunywa una blend??
Unaweza kutengeneza juisi nyingi unakunywa nyingine unaweka kwa matumizi ya baadae

majani hauyachemshi,unayaosha kisha unayatwanga kwa kitu au unablend. Kama utatumia kinu utatwanga kwanza kisha utachanganya na maji ya kunywa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shangazi yetu anakoelekea sasa,,, ni Mungu pekee anafahamu,,, kuna watu tyl wameanza kukereka na baadhi ya kauli zake,, kwa kusema kuwa shangazi anaingilia kila sehemu hata kule asikohitajika
Wanasema ndiye mgombea mwenza 2020...

Inabidi awe na strategy. Ukiongealea kila kitu unachuja na watu wanakuchoka - hasa katika mazingira ya sasa. Hata mbwa abwekaye hovyo hovyo hudharauliwa. Nimeona mahala wakimchambua jinsi alivyo(kuwa) kilaza na kwamba eti kili/nachomsaidia ni hilo jina la familia tu (ad hominem attacks)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…