Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Majemeni hii Inglish ni Shidaaaa! Hivi kiporo cha wali tunaitaje!
1. Used rice
2.Sleeping rice
3. Residue rice
4.Wakeup rice
5.Dead rice
6. Job hundred rice!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji173][emoji173][emoji173][emoji989][emoji989][emoji23][emoji23][emoji23] nipeni jibu Waungwana!
 
Ukavu wa uke ni jambo la kawaida lakini ni tatizo linaloweza kutibiwa ambalo wanawake wengi wanalipitia wakati mmoja maishani mwao.
Zimbabwe na Swaziland kule wanawake "hujikausha" makusudi wakiamini kuwa kwa kufanya hivyo wanaume ndo watadata. Matokeo yake mila hizi zimerahisisha maambukizi ya UKIMWI. Mambo bila mnato na zile nyimbo za Mwakaleli za "fyoko fyoko" mambo wala hayanogi.

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Naomba shikamoo yangu shem [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…