Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Manchester United wako tayari kumfukuzia mchezaji wa kiungo cha kati upande wa nyuma wa Barcelona na Colombia Yerry Mina, mwenye umri wa miaka 23, baada ya kushindwa jaribio lao la kusaini mkataba na mlinzi wa Leicester City na England Harry Maguire mwenye umri wa miaka 25. (Mirror)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…