Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Desemba nilikuwa kwenye msiba basi kulikuwa na binti mshua mshua hivi alikuwa anapiga vile vimagoti vya nyodo. Wazee aisee wakamchimba mkwara kama anataka kuwasalimia awasalimie na kama hataki basi aache. Kesho yake nikamuona anapiga magoti mpaka chini kabisa na kubakia hapo...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
FB_IMG_1533098776555.jpg
 
MWANZA: Jeshi la Polisi limemkamata Prosper Lema(26), kwa kosa la kujiteka kisha kutuma ujumbe kwa ndugu zake akitaka atumiwe pesa kiasi cha Tsh. Milioni 5.3, ili aachiwe huru na watekaji - Kamanda wa Polisi, Ahmed Msangi amesema taarifa za Lema zilipatikana baada ya ndugu zake kwenda katika kituo cha Polisi Kirumba kutoa taarifa ya ndugu yao kutekwa na watu wasiojulikana Julai 18, mwaka huu baada ya kuwatumia ujumbe wakiomba fedha - Inadaiwa kuwa Lema alifanya hivyo ili kuongeza mtaji katika biashara yake ya kuuza vileo - Aidha, Msangi ameongeza kwamba mtuhumiwa atafikishwa Mahakamani pindi uchunguzi wa tukio hilo utakapokamilika.
Hahahaha, wasiojulikana wanabebeshwa misalaba kwa njaa za watu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Na huku Man United ikijianda kwa mechi ya siku ya Jumatano , maswali mengi juu ya United bado yanasalia.
Matamshi ya mkufunzi Jose Mourinho katika uwanja wa Michigan nchini Marekani siku ya Jumamosi wakati kikosi chake kilipopoteza 4-1 yalikuwa na uzito mkubwa.
Hivyobasi ni wakati wa kuuliza maswali haya.
Ni nini kinachoendelea na Mourinho na Manchester United?
Anajaribu kufungua mlango aone njia aende zake[emoji3] [emoji3] [emoji3] miaka mitatu ndiyo huwa muda wake rasmi mara nyingi
 
Back
Top Bottom