Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hata kwa wazungu hasa kwa Trump mambo ya boarding school ni nadra sana. Tunadhani kufanya hivyo ni usasa. Ulimbukeni !!!Tunaiga maisha ambayo si ya kwetu,, tunajifanya tuko busy ilihali hakuna ukweli wowote,,
Tuko busy kwenye mambo ya anasa,, viparty party vya kijinga,, kujionesha kwenye jamii kuwa uko njema,,, mwisho wa siku kupoteza mtt + mtt kuwa na tabia za ajabu ajabu kama zile za kina milembe + mtt pia anakuwa hana mapenzi ya kweli na wazazi wake!!