Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tapatalk_1533222377356.jpeg
 
Wanasema ndiye mgombea mwenza 2020...

Inabidi awe na strategy. Ukiongealea kila kitu unachuja na watu wanakuchoka - hasa katika mazingira ya sasa. Hata mbwa abwekaye hovyo hovyo hudharauliwa. Nimeona mahala wakimchambua jinsi alivyo(kuwa) kilaza na kwamba eti kili/nachomsaidia ni hilo jina la familia tu (ad hominem attacks)
Kilaza asome The Middle Temple London ?? Mhhh sijajua aiseeee.
 
Back
Top Bottom