Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

J.lo
Screenshot_2018-08-02-10-45-20-1.jpeg

Hizo viatu sasa
 
Subiri akija. Walimbana Bae wa uzi (aka Mr. Kuzinduliwa) mpaka ikabidi aweke mkono wake halisi. Na wenyewe wakaanza kuuponda. Siyo watu wazuri hawa !!!
Niliona bro,,,
Nawaelewa sana hawa,,,hapo wameongezewa na shati,,, hutachelewa kusikia Wanaisave kwa matumizi ya baadae[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wazazi wengi wa sasa wanakimbia majukumu mwisho wa siku wanaanza kulalamika ooh mwanangu anatabia za ajabu kumbe aliwapa watu wamlele.
We unafikiri mwalimu anamuda wa kumchunga mtoto wako ana fanya nini na nani na wapi?
Ifike kipindi watu wakiamua kuwa wazazi wawe wazazi kweli wasizae na kupeleka watoto shule mapema kwa kisingizio cha kuwa busy na maisha
Kweli kabsa!!!Ulimbukeni haufai hata kidogo
 
Back
Top Bottom