Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I don't date Ladies with kids says A guy who was Raised by his stepfather,, my brother humble yourself..[emoji1][emoji1][emoji1]🤸‍♀🤸‍♀
 
High school tulikwa tunavaa sketi za marinda,ukishafua unanyoosha marinda fresh unaweka chini ya godoro ikifika jumatatu rinda limenyooka kama umepiga pasi[emoji23][emoji23][emoji23]maisha haya
Ni wangapi tulikuwa tunaeka shati chini ya mattress tukiwa High school ikajipige basi[emoji13]
tumetoka mbali lakini[emoji23][emoji23]

(Maandaeitini hamtaelewa hata ninachoongelea)
 
[emoji57]Na mwenye alisema ati madem wakonde wanafaa kuspankiwa na vidole mbili kama paket ya fegi anafaa kupewa ile Range Rover Zari alikataa🤣[emoji85]
[emoji855][emoji855][emoji855][emoji855][emoji855][emoji855][emoji123][emoji123]

Kakimbaumbau ketu ka uzi kaione hii [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Njema kabisa mkuu..Kwako je?
Prof. Shikamoo [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Hili jambo hata mimi huwa nashangaa,ni kwamba wazazi wamechoka kulea ama wako busy kutafuta pesa?
Unakuta katoto ka5yrs et kanapelekwa boarding school?nani akalee haka katoto?
Tunaiga maisha ambayo si ya kwetu,, tunajifanya tuko busy ilihali hakuna ukweli wowote,,
Tuko busy kwenye mambo ya anasa,, viparty party vya kijinga,, kujionesha kwenye jamii kuwa uko njema,,, mwisho wa siku kupoteza mtt + mtt kuwa na tabia za ajabu ajabu kama zile za kina milembe + mtt pia anakuwa hana mapenzi ya kweli na wazazi wake!!
 
Prof. Shikamoo [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
Marhaba! Hujambo?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee carba haha
Kukaa kwa mashemeji bhna kuna jam sana,,,kuna kazi unapewa hata hazifai kama hii[emoji116]
View attachment 825110
Haya mliokuwa mnatafuta mkono na sato huu hapa sasa. Shwaiiiniii zenu aisee [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
 
[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji57]Na mwenye alisema ati madem wakonde wanafaa kuspankiwa na vidole mbili kama paket ya fegi anafaa kupewa ile Range Rover Zari alikataa🤣[emoji85]
[emoji855][emoji855][emoji855][emoji855][emoji855][emoji855][emoji123][emoji123]

Kakimbaumbau ketu ka uzi kaione hii [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Back
Top Bottom