Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa kifupi: Malkia Isis alikuwa mungu wa muhimu katika Misri ya kale. Alizaliwa na Nut (mungu wa anga) na Geb (mungu wa dunia). Alikuwa na kaka wawili: Osiris, Seth na dada mmoja: Nephthys. Ndugu wote hawa walikuwa pia ni miungu. Baadaye aliolewa na kaka yake Osiris na wakazaa mtoto wa kiume aliyeitwa Horus. Baadaye kulizuka bifu la kugombea madaraka na Seth akamuua Osiris na ili kukata mzizi wa fitina kabisa akamkata kata vipande vipande na kuvitawanya sehemu mbalimbali za Misri; na kujichukulia madaraka. Hata hivyo ISIS alifanikiwa kuvikusanya vipande vya kakake (na mumewe) Osiris na akaweza kumfufua kwa kutumia nguvu zake za Magic.

Isis anaonekana kama kiwakilishi cha mama mkamilifu kutokana malezi sahihi aliyompa mwanawe Horus. Inasemekana hata taswira za Bikra Maria kama mama mkamilifu kwa mwanawe Yesu Kristo zimetokana na malkia huyu wa kale kutoka Misri. Anatazamwa pia kama mke bora aliyekuwa tayari kumpigania mumewe hadi kumfufua. Alikuwa mungu wa muhimu aliyeabudiwa ndani na nje ya Misri na mpaka leo anaabudiwa na watu mbalimbali duniani.
View attachment 825098View attachment 825099

(Sis, unayakumbuka maelezo haya ambayo niliwahi kuyaandika zamani sana wakati ule nami nikijibidisha ili kuwa angalau na fununu juu ya Godess huyu mpendeka?)
Burudani+ maarifa[emoji106] [emoji106]
 
Ina maana kupata michubuko ndo raha yao?
Raha ya konokono utelezi bhana[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]shikamoo shemeji,habari ya uzima?[emoji120][emoji120][emoji120](itikia mapema maana nimepiga magoti[emoji16] na miguu inauma)
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Uzi wa likes kwenye ubora wake
 
Mabinti wa Kisukuma hufanya hivyo. Salamu zote hata kama ni nusu saa wao wako chini. Bakia hapo hapo usinyanyuke mpaka nije nikushike mkono nikunyanyue...

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️ Tena wanaweka dawa ya unga ambao hufyonza mnato wote ili konokono awe mkavu. Mashirika ya kupambana na UKIMWI yamekuwa yakihangaika sana kuishambulia desturi hii lakini kama inavyojua mila hizi huwa hazifi kizembe...
Pumbafu kabisa, wanaharibu ulaji wa wa asili wa konokono, hawajui namna ya kummega konokono[emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom