Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anaza andaeitini. Mtoto wa mjini. Bila utamaduni wake. Lost! Eti, ina maana gani kujiita Mjita wakati hujui Kijita wala utamaduni wao? Mfaransa kweli anaweza kujiita Mfaransa bila kujua Kifaransa na utamaduni wake? Ngugi wa Thiong'o anapambana vikali sana na tatizo hili. Mbona sisi Waafrika, tena tunaojiita wasomi, hatuoni aibu kupoteza utamaduni wetu na lugha zetu? Mbona kwa wazungu mambo haya hayapo? Kulingana na Ngugi, haya ni matokeo ya mkakati wa makusudi wa watawala wetu. Wanajua kuwa ukimtenga mtu na utamaduni wake unamvuruga. Unamfanya asijielewe. Anakuwa hana falsafa. Hajui thamani na nafasi yake katika ulimwengu huu...

Bro, you seem to be real cool, young and smart. Jibidishe sana ujifunze Kijita. Jifunze utamaduni wao. Jifunze Historia yao. Jirunze falsafa zao. Jifunze imani zao (siyo lazima uzifuate) na visaasili vyao. Ati, mwanaume halisi wa Kijita anapaswa aweje? Na bahati unaye mwalimu hapa. Jifunze yote uwezayo. Hata yale ya siri. Utakuwa umechangia katika kuiokoa lugha na utamaduni wa Kijita usipotee pamoja na kujiokoa yeye mwenyewe. Mwafrika halisi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mkuu habari za masiku
Uwe na jumapili njema
 
IMG-20180804-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom