carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Salama tu jangala tunashukuru mungu tupo salama,karibuKumekucha wakuu...habar za mwamko?
Salama tu jangala tunashukuru mungu tupo salama,karibuKumekucha wakuu...habar za mwamko?
carbamazepine usimsikilize huyu mti wenye matunda kila siku unapigwa mawe.Najuta kwann sikukuchukua mapema subira yangu ndo imesababisha ukaangukia kwa linyang'anyi kichwa kichafu
Ok gudTuombee na sisi
Msaada wa nini unataka tena?kuna kitu kipya kimeingia umekiona??Mbona unakimbia mimi mgeni humu carbamazepine naomba masaada
Siwezi kuruhusu binti mrembo ateseke it is overcarbamazepine ...........
Goodmorning kiongoziGood morning watu wa Mungu.
Asante sana mpendwa....kuna kitu naomba nikifundisheSalama tu jangala tunashukuru mungu tupo salama,karibu
Watanzania tumezoea salam tunatumia dakika ishirini..we unanikatisha utamu bhana.
Gmorning tooGood morning watu wa Mungu.
Maana hata wewe unanifahamu vizuri tabia yangu moyo japo wengi wananidhania ni mtu wa aina gani.Kumbe ulikua unanichora tu eeeh??
Swadaktaaa....Haahaha zile salam mpaka za kujlia hali ya kuku na mfugo mingine aah ngumu hio
Me huwa nafurahi siku zoteYaan sijafanya chchte umeshaanza kufurahi aisee
carbamazepine [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Today am Taking what is mine zepine