Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lameck ni fala.si sana.Tena angeparalyse hadi ubongo dadeq zake.

Wazazi wanasahaulika sana,huko waliko wanasononeka sana juu yetu
Kweli kabsa,,Lameck kabeba picha nzima ya vijana wa Leo hii wanaoweka heshima bar, maisha safi majumbani kwao,, ili hali nyumbani kwao wazazi wanaishi kwenye sehemu ya hvyo kabsa!!!

Tumuombe Mungu atuepushe na balaa hz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…