Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Ongeza na hii:Wafilipi 4:4 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
4 Furahini katika Bwana siku zote, tena nasema furahini!
Wafilipi 4:6
Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.