myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mchana wa kula...
Poa ningendakoMambo consuela
[emoji23] [emoji23] langu consuelaWewe jina lako nani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nzuri mkuu mambo vipiHabari yako kiongozi
[emoji16][emoji23][emoji23] [emoji23] langu consuela
Karibu EPLChelsea na Man City zinakutana kwenye Uwanja wa Wembley katika mpambano mmoja matata wa kukata utepe wa Ligi Kuu England.
Mchezo huo wa kuwania Ngao ya Jamii, tayari umewajenga hofu makocha wa pande zote, Maurizio Sari wa Chelsea na Pep Guardiola wa Man City.
Kocha wa City, Guardiola anaonekana kuficha kikosi chake huku mwenzake, Sarri, akiita wasaidizi wake wote na kufanya kikao kilichotumia zaidi ya saa tatu.
Anazungusha kutaja hatakiHahahha taja Pyaar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha Hana shida na mtu,, Si unamuona hata hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa utaki kutaja[emoji23][emoji23][emoji23], Kwa hiyo mie ndo wa kuibiwa mpenzi/mume??[emoji23][emoji24][emoji24]
Ndio hivyo mkuuAisee..
YapMchana wa kula...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] langu consuela