carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hujambo lakini
Asbh nilisema uzuri wa mwanamke sio sura ni tabia SYB amekataa anasema uzuri wa mwanamke ni wowowo
Poti anajua [emoji23] [emoji23]Utadanganywa tu[emoji23][emoji23]
[emoji23],Nimehusisha tu kimaana. Utwa lilino jubha ghwanghu? Mwiputile[emoji120] [emoji120]
Amen.Leo napenda kutumia nafasi hii kuwashukuru sana sana kwa uwepo wenu mahali hapa ..najisikia kusema tu mbarikiwe, nawapenda sana ..wote mliopo kwenye uzi huu Mungu akutane na haja zenu...
Sitachoka kuwashukuru na kuwapenda wanalikes...
Niwaombe msizimie mioyo, wala msichoke, wala msikate tamaa, tuzidi kumtumikia Mungu kwa bidii sana..
Msijidharau wala msijichukie
mshukuruni Mungu na mtukuzeni pia kwa jinsi mlivyo...
Nawapenda sana sana ...
Mmebarikiwa sana.
Nyie ni watu muhimu sana sana.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 827856
Asante Capitalpool.Ujumbe mzuri, nakupenda pia Pyaar.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hapana nimewiwa tu.Amen.
Usiniambie unataka kuresiti ini piisi!!
Hapo ndipo unanichanganyaga yaani... Wa moto upo wa baridi upo,haya... Hizi ofisi zisizo fagiliwa hizi....YOHANE 15:9-11
9 Kama vile Baba alivyonipenda mimi, nami nilivyowapenda ninyi, kaeni katika pendo langu.
10 Mkizishika amri zangu, mtakaa katika pendo langu; kama vile mimi nilivyozishika amri za Baba yangu na kukaa katika pendo lake.
11 Hayo nimewaambia, ili furaha yangu iwe ndani yenu, na furaha yenu itimizwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16], basi omba akujuze.Poti anajua [emoji23] [emoji23]
Unataka kusema ni... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakuchanganya na nini ndg yangu??Hapo ndipo unanichanganyaga yaani... Wa moto upo wa baridi upo,haya... Hizi ofisi zisizo fagiliwa hizi....
21:4620:11
Nenda MMUNatafuta demu wakuu
Gonga like
Ezi ifu nimeona konokono...View attachment 827829
Lunch time! [emoji39][emoji39]
Kwa mujibu wa andjul[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hilo ndo jina langu??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], na iwe ndivyo.Kwa mujibu wa andjul[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HaahhaaahaSiku nikibahatika kununua hiyo simu aisee kisherehe kitanihusu. Poa sana basi tu !!!
Kweli mkuuAaa wapi! Wakati mwingine inabidi uhangaike ndo uingiemo ohoo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 827796
Jambo jakitoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utanialika kwenye kisherehe