mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi kwa nini ukweli kuhusu huyu mtu unafichwa fichwaToleo jipya inaitwaje kwa sasa?
Steve Jobs alikuwa noma. Kampuni yake imekuwa kampuni ya kwanza USA kufikisha thamani ya trillioni moja...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 827812
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nenda MMU
Mia mia mkuu
Aiseee wanamaliza pesa zetu wacha nirudi kwenye tochi nokiaNi hiyo IPhone X, ila wanatoa IPhone X Plus na IPhone 9 hivi karibuni!
Hiyo kapero aliyo vaa huyo mrugaruga nimejirizisha... Ghwakukajha [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa ndipo penyewe sasa, hawa ndugu zake Andjul kabisa, Koromije hakuna milima ya dizaini hii wala miti spishi hii...Hii UYOLE moja.... Rangi za ngozi zao nadhani pia zinasadifu yaliyomo.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
View attachment 827848
Amun RaLeo napenda kutumia nafasi hii kuwashukuru sana sana kwa uwepo wenu mahali hapa ..najisikia kusema tu mbarikiwe, nawapenda sana ..wote mliopo kwenye uzi huu Mungu akutane na haja zenu...
Sitachoka kuwashukuru na kuwapenda wanalikes...
Niwaombe msizimie mioyo, wala msichoke, wala msikate tamaa, tuzidi kumtumikia Mungu kwa bidii sana..
Msijidharau wala msijichukie
mshukuruni Mungu na mtukuzeni pia kwa jinsi mlivyo...
Nawapenda sana sana ...
Mmebarikiwa sana.
Nyie ni watu muhimu sana sana.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Naona kama wanawachanganya wateja sasa, anunue ipi aache ipi!!
[emoji124] [emoji124] acha niendelee na tecno yangu batani...
OK sawa kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*KWA MFANO WEWE NI MENEJA WA KIWANDA CHA NETI, MTU AKIJA KUOMBA KAZI HAPO HALAFU KUKAWA HAMNA KAZI, KWA KIINGEREZA SI NDO UNAWEZA KUSEMA*
*"NO NETWORK"*[emoji848]
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
nakuja nimeitwa
[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
Barikiwa mama mchungajiYOHANE 15:9-11
9 Kama vile Baba alivyonipenda mimi, nami nilivyowapenda ninyi, kaeni katika pendo langu.
10 Mkizishika amri zangu, mtakaa katika pendo langu; kama vile mimi nilivyozishika amri za Baba yangu na kukaa katika pendo lake.
11 Hayo nimewaambia, ili furaha yangu iwe ndani yenu, na furaha yenu itimizwe.
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji120][emoji120][emoji120]Amun Ra
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 827856
[emoji23][emoji23][emoji23]Wingifaa.Hiyo kapero aliyo vaa huyo mrugaruga nimejirizisha... Ghwakukajha [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanajulikana kabila lao[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chakula cha wanaume wa dar[emoji124][emoji124][emoji124]View attachment 827826
Aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji124][emoji124]View attachment 827827
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chakula cha wanaume wa dar
Pressure potiView attachment 827829
Lunch time! [emoji39][emoji39]