Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hiyo kapero aliyo vaa huyo mrugaruga nimejirizisha... Ghwakukajha [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Amun Ra
 
Naona kama wanawachanganya wateja sasa, anunue ipi aache ipi!!
[emoji124] [emoji124] acha niendelee na tecno yangu batani...

Unajua wali skip kutoa IPhone 9 wakatoa X (10) kwa vile walikuwa wana Anniversary ya 10yrs tangu wayaanzishe hayo mambo yao! X wanatoa hiyo Plus kwa vile hawakufanya hivyo walivyoitoa, labda hiyo 9 ndio itakuwa na jipya!
 
OK sawa kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Barikiwa mama mchungaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…