Dalili tu zenyewe huleta wasiwasi, kama maumivu ya kifua, inaweza kuwa amepata maumivu hayo katika sehemu yake ya kazi. hali ya kazi yake imemfanya apate maumivu. Na hayo maumivu huanza taratibu:Au pengine kapungua uzito ghafla, huenda ni kutokana na chakula anachokula kipindi hicho , lakini tayari wasiwasi unaingia ndani yake.
Huenda amepata maumivu kutokana na kufiwa na mtu wa muhimu kwake, Matibabu yake ni kuwa na utulivu , Na faida yake inaonekana ni ya muda mrefu bila ya kuwa na wasiwasi. Lakini ukianza kuhofia mapema utasababisha matatizo mengine makubwa ambayo hayana matibabu ya kirahisi.