Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu wenye wasiwasi na afya wana hatari ya kupata ugonjwa wa moyo, kuwa na mawazo mengi, afya ya saikolojia ni tiba ilio bora sana.

Watu wengi huwa na furaha endapo matokeo ya kipimo yatakuwa negative…lakini kwa asilimia kubwa wengi hupata nafuu, na wengine hawapati nafuu kabisa. Kama una wasiwasi na afya yako , hakuna kipimo cha ukweli kitakachokuhakikishia wewe.

unaweza ukatafuta sehemu zote na usipate kwa ajili ya dalili ulizonazo.
 
Ukweli ni kwamba , wasiwasi wa afya yako utaufanya mwili wako uugue. watu wenye wasiwasi wana nafasi kubwa ya kuendelea magonjwa ya moyo kwa miaka kumi na zaidi, ukilinganisha na wale ambao hawana wasiwasi.
 
Suluhusho.

Ugonjwa wa wasiwasi ni ugonjwa hatari . inahusisha mwili wako kwa karibu sana , kushindwa kuelewa dalili na mara nyingi kujaribu kutafuta ushauri wa matibabu.

Kama una ugonjwa wa wasiwasi , acha mara moja kuogopa kuhusu kuwa mgonjwa , ni vizuri zaidi kuliko kuwa na unafuu wa dalili za mwili. hata hivyo , watafiti waliona hilo kuwa ni tatizo kubwa linalopelekea kupata ugonjwa wa moyo.

Utafiti mpya unachukulia hili kama mtindo wa maisha ya mtu ndio unaomletea magonjwa haya. lakini ilikuwa ni vigumu kuutenga ugonjwa halisi kuwa ni kisababisho cha ugonjwa wa wasiwasi.
 
Ukiwauliza watu wenye dalili za magonjwa utegemee kupata wenye ugonjwa wa wasiwasi hapo.

Umekuwa na hofu sana kwenye tatizo hili?, Umekuwa ukiogopa sana kuhusu afya yako kwa ujumla? Umewahi kuhisi kuwa tatizo lako ni kubwa kuliko alivyogundua dactari wako? Kama jibu ni ndio kwa swali lolote kati ya hayo. Anahitaji msaada . jibu rahisi rahisi halimsaidii. Anahitaji tiba ya saikolojia ili kubadilisha mawazo alionayo kuhusu hilo tatizo.
 
Sometimes you change your mind about a person. Or your feelings for them change, or they change, or, I don’t know, you just want to make a different decision. And that’s always okay. You don’t owe anyone anything.
 
Dalili tu zenyewe huleta wasiwasi, kama maumivu ya kifua, inaweza kuwa amepata maumivu hayo katika sehemu yake ya kazi. hali ya kazi yake imemfanya apate maumivu. Na hayo maumivu huanza taratibu:Au pengine kapungua uzito ghafla, huenda ni kutokana na chakula anachokula kipindi hicho , lakini tayari wasiwasi unaingia ndani yake.

Huenda amepata maumivu kutokana na kufiwa na mtu wa muhimu kwake, Matibabu yake ni kuwa na utulivu , Na faida yake inaonekana ni ya muda mrefu bila ya kuwa na wasiwasi. Lakini ukianza kuhofia mapema utasababisha matatizo mengine makubwa ambayo hayana matibabu ya kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…